Yaliyomo
Miktadha ya Kauli Zilizojenga Taswira ya Dunia katika Riwaya ya Kiswahili: Uchunguzi kutoka Riwaya ya Dunia Uwanja wa Fujo [Ali Makame Mdungi] ....1
Athari za Matamshi ya Lugha za Jamii na Ukiushi wa Maana katika Kiswahili Sanifu [Ahmad Yahya Sovu].... 14
Nafasi ya Picha katika Kukuza Upokezi wa Msomaji katika Vitabu Teule vya Fasihi ya Watoto [Silvester L. Makau na Pamela M. Y. Ngugi] ....29
Changamoto katika Ubidhaishaji wa Kiswahili Nchini Tanzania [Elishafati J. Ndumiwe na Zacharia Madila].... 45
Viswahili na Wahaka wa Kiisimu: Haja ya Kupanua Rajamu ya Kiswahili [Peter Githinji].... 56
Ontolojia ya Nafsi katika Riwaya Teule za Muhammed Said Abdulla: Uchunguzi wa Kikani [Tatu Y. Khamis na Arafa Jumanne] ....70
Utohoaji na Matumizi ya Maneno Changamani katika Lugha ya Kiswahili: Mifano ya Mkanganyiko wa Maana na Matumizi ya Neno “Bongofleva” Nchini Tanzania [Issaya Lupogo].... 81
Usambamba wa Kisemantiki Kati ya Methali za Kikuyu na za Kiswahili [Esther Chomba].... 93
Mbinu za Kufundisha Kiswahili kama Lugha ya Kigeni kwa Kuzingatia Utamaduni Jamii [Daud Khamisi, Neema Mturo, Sarah Ngesu na Arnold Msigwa] ....106
Usawiri wa Taashira ya Uongozi Barani Afrika katika Tamthilia ya Zilizala [Waithiru Kago Antony].... 118
Ujitokezaji wa Nomino za Kiswahili Zinazoibua Maana za Kitashibiha katika Riwaya ya Zawadi ya Ushindi na Watoto wa Maman’tilie [Judith Yobu, Neema Mturo na Sarah Ngesu] ....128
Harakati za Ujitambuaji wa Mwafrika katika Tamthiliya ya Kiswahili [Justus Kyalo Muusya na Mosol Kandagor].... 139
Ujumi Unavyoakisi Hali Halisi ya Jamii: Mifano katika Hurafa za Wapemba [Sayfa Abdalla Mohammed].... 150
Sababu za Kutumiwa U-Nigeria katika Filamu za Kiswahili Nchini Tanzania [Gervas A. Kasiga].... 165
Usawiri wa Miiko ya Jadi katika Jamii ya Sasa: Mifano kutoka Jamii ya WapareTanzania [Hatibu Sadi, James Ontieri na Tigiti S. Y. Sengo] ....176